#UshuhudaWaUhuru #HenrickMruma #Uhuru
Ninayo furaha kushirikiana nanyi wanafamilia yangu wimbo huu. USHUHUDA WA UHURU ni wimbo wa ukiri, imani na ushindi ambao kwa nyakati zozote za safari yetu ya kimaisha kuna vifungo vya namna tofauti ambavyo vinatukosesha uhuru. Kupitia wimbo huu, tunaweza kukiri na kushuhudia uhuru aliotupa Yesu Kristo huku tukiwa na hakika ya Uhuru huo wa Nafsi, Roho na Akili. Shiriki nami Ukiri na Ushuhuda huu wa Uhuru.
Singer & Song Writter - Henrick Mruma
Audio Production - G MUSICS
Vocal Arranger - Henrick Mruma
Back Vocals - Pizzicato The Gospel Tone Iringa (Priscilla Mboya & Adam Kingo)
Graphics - Simeon Paul (SP Graphics)
Instagram: henrick_mruma
Facebook: Henrick Mruma
Contacts: 0744 417 141
Email: henrickmruma@gmail.com