Neema Gospel Choir, AIC Chang'ombe - Neema Imefunuliwa (Official Video) 4K

Просмотров: 145, 905   |   Загружено: 4 год.
icon
Neema Gospel Choir
icon
863
icon
Скачать
iconПодробнее о видео
Tunaishi kwa Neema na hivyo Neema ikifunuliwa kwetu tunaweza, kutawala na kumiliki maana Kristo anakuwa ndani yetu.

Kwa kuwa katika utimilifu wake sisi sote tulipokea, na neema juu ya neema. - Yohana 1:16


Humwinua mnyonge kutoka mavumbini
he raises the poor from the dust

Na mhitaji kutoka jaani
and lifts the needy from wilderness

Na kumketisha na wakuu
and make him sit with the heads of his people

Meza moja na wafalme
one table with princes

Usilie tena Bwana yu nawe
dont cry any more, God is with you

Hutaitwa masikini tena
you will never be called poor any more

Usihuzunike Bwana Yesu yu nawe
don't worry for the Lord is with you

Hautadharauliwa tena
you will no longer be despised

Bwana ni mkuu juu ya mataifa yote
The Lord is the greatest over all nations

Na utukufu wake ni juu ya mbingu yote
and his glory is over the heavens

Huweka nyumba ya mwanamke aliyetasa
he sets the house of the barren woman

Awe mama ya watoto wenye furaha
be mother to happy babies

Jina la Bwana na lihimidiwe
let his name be exalted

Tangu leo na milele yote
from today and forevermore

Usiogope adui ee
never be afraid of the enemy

Yesu anakulinda
Jesus protects you

Anakulinda Yesu,
Jesus protects you,

anakulinda
He protects you

Mungu muweza yote
Great mighty God

mtetezi wa wanyonge
the defender of the weak

Walioteswa na dunia
persecuted by the world

Ameahidi kukulinda
He promised to protect you

ahadi zake ni kweli na amini
His promises are yes and amen

Twasoma Daniel aliyetupwa kwenye tundu la simba
as we learn through Daniel who were thrown in the lions' den

Mungu aliyafunga makanwa ya simba
God shut the lions' mouth

Hawakumdhuru, hawakumdhuru
they didn't harm him


Tushukuru neema imefunuliwa
let us be grateful for the grace is revealed

Enzi zile za wafalme na watawala wa kidunia
those ages of kigs and rulers in the world

Watu walilazimishwa kuabudu na kuisujudia miungu
people were forced to worship gods

Meshack, Shadraki na Abednego
Meshack, Shadrach, and Abednego

Walitupwa katika tanuru liwakalo moto
they were thrown in the furnance

Sababu walikataa kuabudu sanamu Ya mfalme, ya mfalme
because they refused to worship the statue of the king

Neema neema
grace is revealed

neema imefunuliwa
grace is revealed

Tunatawala milele
we rule and reign forever

tunamiliki
we own everything

Tunatawala, tunamiliki
we rule and reign, we own every thing

Audio Recorded by: Frester's Record
Video Directed by: Cylivester
Graphics By: Titus Alfred

Contacts:
Email: neemagospelchoir@gmail.com
Phone: +255 (0) 766 777 288

Instagram: neema_gospel_choir
Facebook: Neema Gospel Choir
Twitter: Neema Gospel Choir
Telegram: Neema Gospel Choir

Похожие видео

Добавлено: 56 год.
Добавил:
  © 2019-2021
  Neema Gospel Choir, AIC Chang'ombe - Neema Imefunuliwa (Official Video) 4K - RusLar.Me