
Isaya 61:7
Mungu wetu ni mkuu ni mwaminifu
Mtoshelevu
kwetu huu hata milele,
Akiahidi anatenda, ukimwamini yeye tu.
Na neno lake halirudi kwake bure ni Mungu.
Anadumu milele
ni mwaminifu Elishadai Elishadai
Akiahidi ana tenda, ukimwamini yeye tu.
Na neno lake halirudi kwake bure ni Mungu.
Tumebarikiwa na Mungu mwenyewe,
Tunaujasiri ndani ya Yesu.
Tumebarikiwa wengine waone,
Waokolewe wamjue Yesu.
(Baba Baba)
Tupate wapi mwingine, kama Wewe?
(Yesu Yesu)
Unatutosha.
Unatupa vyote tukuombavyo,
( double double)
Hatupungukiwi tukiwa nawe
Yahwe tu pate wapi mwingine,
Yahwe unatutosha.
Audio Recorded by: Frester's Record
Graphics By: Titus Alfred
Contacts:
Email: neemagospelchoir@gmail.com
Phone: +255 (0) 766 777 288
Instagram: neema_gospel_choir
Facebook: Neema Gospel Choir
Twitter: Neema Gospel Choir
Telegram: Neema Gospel Choir