
Tunaendelea leo na sehemu ya pili ya mfululizo huu wa kiroho unaogusa maisha. Ujumbe wa leo ni wa kipekee—usikose hata sekunde moja! 🌿🔥
👉 Tafadhali shirikisha link hii na familia, marafiki, na jamaa zako—wote wanahitaji kusikia ujumbe huu wa tumaini!
🕖 Jiandae kwa nyimbo za sifa, Neno la Mungu, na uwepo wa kipekee wa Mungu.
📢 Karibu tena na usisahau ku-LIKE, kushiriki, na ku-SUBSCRIBE!
#WakatiNiSasa