Neema Gospel Choir, AIC Chang'ombe - Muumba wa Miisho (Official Video) 4K

Просмотров: 177, 231   |   Загружено: 5 год.
icon
Neema Gospel Choir
icon
930
icon
Скачать
iconПодробнее о видео
Bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.
ISA. 40:31

But they that wait upon the Lord shall renew their strength; they shall mount up with wings as eagles; they shall run, and not be weary; and they shall walk, and not faint.
Isaiah 40:31

Song Lyrics:

Muumba wa miisho ya dunia,
creator of the ends of the earth
Bwana wa mabwana
The Lord of lords
Hazimii,
faintenth not
hachoki
neither is weary

Hodari kwa nguvu,
He is powerful
Hakuna wa kufanana naye Yesu
there is none like Jesus

Wamngojeao Bwana
they that wait upon the Lord
Watapata nguvu mpya,
shall renew their strength

Watapanda juu kama tai,
they shall mount up with wings like eagles
Nami Bwana nakungoja.
and i am waiting upon you Lord

Bwana naomba unipe nguvu mpya
Lord renew my strength I pray
Nisichoke kupiga mbio katika wokovu
so I wont tire out in the race of salvation

Sitachoka,
i will never go weary
sitazimia,
i won't faint
Yesu yupo, Yesu yupo
Jesus is here with me

Sitakata tamaa,
i will never give up
Sitarudi nyuma,
i won't turn back
Yesu yupo, Yesu yupo
Jesus is here with me

Audio Recorded by: Frester's Record
Video Directed by: Cylivester
Graphics By: Titus Alfred

Contacts:
Email: neemagospelchoir@gmail.com
Phone: +255 (0) 766 777 288

Instagram: neema_gospel_choir
Facebook: Neema Gospel Choir
Twitter: Neema Gospel Choir
Telegram: Neema Gospel Choir

Похожие видео

Добавлено: 56 год.
Добавил:
  © 2019-2021
  Neema Gospel Choir, AIC Chang'ombe - Muumba wa Miisho (Official Video) 4K - RusLar.Me