Aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua ameashiria ujio wa chama cha eneo la kati kuanzia mwaka ujao kitakachotumika kuunda muungano wa kisiasa utakaolenga kumnng’atua rais william ruto mamlakani mwaka 2027.
Akizungumza huko muranga gachagua aidha alimsuta rais william ruto kwa kile alichosema ni mazoea ya kuwadanganya wakenya.