#SeedOfFaith #ZaidiYaFahamu #UkoMwenyewe #ASeasonOfHarvest
Mungu wetu ni wa ajabu na Anafanya maajabu. Pale ambapo fahamu, mawazo, akili na upeo wetu vinaishia ama kushindwa Anafanya yeye mwenyewe. Tafakari kule ambako unakwenda katika siku za usoni na fikiria kule ulikotoka utatambua kuwa ni Mungu pekee Aliyeweza na Anayeweza fanya mambo makuu kwenye maisha yako.
Kuna mambo kwa akili ya kibinadamu unaona kabisa hayawezekani, hayana mpenyo lakini Mungu anafanya zaidi ya akili, ufahamu na hata upeo wako.
Tambua kuwa hakuna wa mfano wake, Hakuna wa kulinganishwa na huyu Mungu atendaye mambo makubwa. Yuko mwenyewe na hakuna wa mfano wake.
Song writer: Henrick Mruma
Music arranger & Director: James Godfrey (JayG Production)
Musicians: BAND OF CHRIST
Back Vocals: SEED OF FAITH
Sound System: Sound Solution International
Sound Engineer: Balisidya
Audio Capturing: Samuel Mboya (Chosen Records)
Mixing and Mastering: Samuel Mboya (Chosen Records)
Video Production: SP Visuals
Lights: Nyakalo Lights
Stage Design: Winfred Palmena
Stage Decor: Gatty Events
Venue: City Harvest Church
Outfits: Dar Suit and Kuya Creations
Special Appreciations:
Caroline Henrick Mruma, Mr. & Mrs. Albert Mruma, Mr. & Mrs. Ronald Swai, Seed of Faith, Band of Christ, Dr. Twina Suzzette, Geofrey Rutta and Gideon Mlawa.