Wimbo huu hakika ni ushuhuda 🙌
Je! Una ushuhuda?
Waliotendewa na BWANA na waimbe Sasa
Huna sababu yakukaa kimya kwa Yale mema aliyokutendea Mungu.
Kuna walioshangazwa na Ndoa, Ada za shule, uponyaji, kupata watoto...Nk
Hatakama bado hujaona imba kwa Imani utayaona yakitokea kwako in Jesus Name
AMENISHANGAZA YESU 🙌
Credits:
Venue :Calvary Temple (Arusha)
Video Directed by : Amigo Johnson (Amijoji Company Ltd)
Audio Capturing :Sam Mboya
Sound Engineer: Mitchell Mike
Audio Mixing &Mastering : Samwel Mboya
Backline :Maksudi
P.A : Tumaini Shangilieni Choir
Lights :Nyakalo Stage lights
Decor :Bervely Betwell
Connect with us Via:
Mobile :+255 710 087 353
Whatsapp:
Instagram :
Tiktok:
Twitter:
Facebook: