Agape Gospel Band - Bwana ni Mchungaji Wangu ( Official Music Video )

Просмотров: 368, 098   |   Загружено: 1 год.
icon
Agape Gospel Band
icon
4, 733
icon
Скачать
iconПодробнее о видео
Zaburi 23:1-2,4,6

[1]BWANA ndiye mchungaji wangu,
Sitapungukiwa na kitu.
[2]Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,
Kando ya maji ya utulivu huniongoza.

[4]Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,
Sitaogopa mabaya;
Kwa maana Wewe upo pamoja nami,
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.

[6]Hakika wema na fadhili zitanifuata
Siku zote za maisha yangu;
Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.

Похожие видео

Добавлено: 55 год.
Добавил:
  © 2019-2021
  Agape Gospel Band - Bwana ni Mchungaji Wangu ( Official Music Video ) - RusLar.Me