#HenrickMruma #AmiriJeshiMkuu #PrayerHopeDeclaration
Kumbukumbu la Torati 20:4
kwa maana BWANA, Mungu wenu, ndiye awaandamaye kwenda kuwapigania juu ya adui zenu, ili kuwaokoa ninyi.
#AmiriJeshiMkuu ni wimbo uletao tumaini katika zile nyakati ngumu na za kutisha ambapo adui anakuwa amekuonea, amekutesa na kukupiga vita. Tunakiri maneno ya wimbo huu kama ishara ya kuamini kwamba Yesu ambae ndiye #AmiriJeshiMkuu anapigana vita zote za kiroho na kimwili kwa ajili yetu. Katika nyakati zote ngumu, kitu pekee tunachopaswa kufanya ni Kuomba, kuweka Tumaini na Kukiri kwamba Yesu ndiye Jemedari wa Vita.
#AmiriJeshiMkuu is a sound that brings hope in those tough and scary moments where the the enemy has been bullying, torturing and fighting against us. We declare the words of this song as part of trusting that Jesus is the #CommanderInChief fighting all the spiritual and physical battles for our sake. The only thing that we have to do in these tough times is to Pray, Hope and Declare that Jesus is the General of War.
Songwriter: Henrick Mruma
Singer: Henrick Mruma & Regina Makombe
Video Director: Ambah Pixels
Audio Producer: Gideon James (G Musics)
Instrumentalist: Gideon James (G Music)
Vocal Arranger: Henrick Mruma
Back Vocals: Soprano - Regina Makombe | Alto - Faraja Kaywanga & Sophia Kalinga | Tenor - Adam Kingo | Bass - Roland Robert
Video Cast: Agreth Makombe, Sophia Kalinga, Faraja Kaywanga, Joel Bandeke, Max Mussa & Roland Robert.
Special thanks to;
Albert & Roseline Mruma and Family.
All my friends who participated in this.