Neema Gospel Choir - Zaidi na Zaidi (Live Music Video)

Просмотров: 66, 188   |   Загружено: 2 нд.
icon
Neema Gospel Choir
icon
2, 023
icon
Скачать
iconПодробнее о видео
Wimbo unaoshuhudia uaminifu wa Mungu katika kila hali. Ni wimbo wa faraja, tumaini, na ushindi kwa kila mtu anayemtumainia Bwana.

📖 Zaburi 37:25
Sijawahi kuona mwenye haki ameachwa, wala mzao wake akiomba chakula.

📖 Mathayo 7:7
Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa.

Wimbo huu ni ushuhuda hai wa neema ya Mungu isiyokoma. Tukimtafuta uso wake kwa bidii, tusome na kutafakari neno lake, tutashuhudia matendo yake makuu.

𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram:
Facebook:
X:
Threads:
Tiktok:

𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
Whatsapp: +255 766 777 288
Email: info@neemagospelchoir.org
Website: www.neemagospelchoir.org

©️2024

Похожие видео

Добавлено: 55 год.
Добавил:
  © 2019-2021
  Neema Gospel Choir - Zaidi na Zaidi (Live Music Video) - RusLar.Me