
Mpaka Sasa tunajivunia kupokea oda ya kuwafumia Mashuka ya kigoma wateja WA sehemu tofauti tofauti kutoka Mikoa yote Tanzania Bara na ZANZIBAR Pamoja na wateja WA Nje ya nchi nchi mbali mbali. Kuaminiwa na wateja Wetu kunatupatia nguvu ya kuendelea kufanya kazi Kwa ubunifu na Viwango zaidi. Karbuni wote tuwahudumie. Namba zetu ni 0762-149449 kama unahitaji Mashuka au kufundishwa kufuma.