#SeedOfFaith #Nikilinganisha #Worship
Matendo ya Mungu yamekuwa makuu na ya kutisha kufikia mahala ambapo hata ukitafakari ulipotoka na mambo uliyoyapitia unagundua kwamba hakuna kitakacholingana na Mungu. Alama na matendo yake vimeonekana vizazi vyote vya mataifa yote na kwamba Yeye yuko juu ya kila kitu. Tukilinganisha na chochocote ama mungu yoyote basi hakitalingana wala kukaribiana na Yesu Kristo maana Yuko Mwenyewe tena juu ya kila kitu.
Song Writer/Coposer: Henrick Mruma & Nelly Music
Studio: Alberose Music House
Producer: Band of Christ
Music Arranger/Director: James Godfrey (Jay G Production)
Vocal Arranger: Henrick Mruma
Piano, pad, layers, flute, horns etc: James Godfrey (Jay G Production)
Bass Guitar: Emmanuel Peter (PBASS_50)
Lead Guitar: Ernest Kilimba
Back up Vocals: Catherine Mhulula, Anitha Kiliba, Dorcas Daniel, Flora Kachema & Jerry Valentine.
Artwork: MB Graphics
Special thanks to;
Albert & Roseline Mruma with family, Carol Danna, Nelly Music, Band of Christ, Danielitus, Gideon James & Mathias Walichupa.