
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya Mtumishi wake Mama Kibona aliyetumika kwenye Ibada ya The Tabernacle kutufafanulia nini haswa inamaanisha kuwa MASKANI ya Mungu.
Mama alitoa darasa lilitofunza kuhusu unyeyekevu kama kigezo cha msingi sana ili Mungu aishi ndani yetu. Imetupasa tupungue, ili Yesu aongezeke ndani yetu.
#TheTabernacle sio Ibada tu, ni maisha ya kila siku
#DrIpyana
#TheTabernacle