#SeedOfFaith #Waweza #Praise #ASeasonOfHarvest
“Yesu akasema, Mtu alinigusa, maana naona ya kuwa nguvu zimenitoka. Akamwambia Binti, imani yako imekuponya; enenda zako na amani.”
Lk 8:46, 48 SUV
Bibilia inatupa mifano na story nyingi za uweza na ukuu wa Yesu, inatufundisha uponyaji wake, nguvu zake na kazi zake.
Kiri pamoja nasi kwenye jambo lolote unalomuamini atafanya kwako leo, anaweza zaidi ya mawazo na fahamu zetu
Song writer: Henrick Mruma
Music arranger: James Godfrey (Jay G Pro)
Musicians: BAND OF CHRIST
Back Vocals: SEED OF FAITH
Sound System: Sound Solution International
Sound Engineer: Balisidya
Audio Capturing: Sam Mboya
Mixing and Mastering: Kepha Mndeme (Smart Tunes Music)
Video Production: SP Visuals
Lights: Nyakalo Lights
Stage Design: Winfred Palmena
Stage Decor: Gatty Events
Venue: City Harvest Church
Outfits: Dar Suit and Kuya Creations
Special Appreciations:
Caroline Henrick Mruma, Mr. & Mrs. Albert Mruma, Mr. & Mrs. Ronald Swai, Seed of Faith, Band of Christ, Dr. Twina Suzzette, Geofrey Rutta and Gideon Mlawa.