
Sasa unaweza kuweka oda yako ya mashuka ya kigoma. Utachagua maua unayoyapenda na rangi unazopenda kisha sisi tutakufumia. kwa wateja wa nje ya nchi tuna utaratibu mzuri wa kutuma kuptia EMS POSTA na mzigo unakufikia haraka kwa nchi yoyote. pia kama unataka kujifunza karibu tunafundisha wanafunzi kwa njia ya online unaelewa namna ya kufuma mifumo yote. tupigie kwa namba 0762149449.