Music Video is performing by KAMALA THE GOSPEL, that called "Umwema Jehova" praises 's extraordinary beauty and divine allure. The lyric of this song carries a message aimed at praising God's grace and mercy Directed by Mariot Alvero, Audio Produced by Kimambo Pro
Get "UMWEMA JEHOVA" Here
For Bookings: kamalathegospel@gmail.com
Follow Kamala The Gosepl here:
Instagram:
Twitter:
TikTok:
Facebook:
WhatsApp: +255656008608
Mixing: mecklion4
Audio: Kimambo The Beat
Video Production: Taxedo Studio
Production Manager: Kamala The Gospel Store
Lyrics
Chorous
Umwema Umwema
Umwema Jehova Umwema
Umwema Umwema
Kwenye hatari umeninusuru Umwema
Umwema Umwema
Umwema Jehova Umwema
Umwema Umwema
Kwenye giza umeweka nuru Umwema
Verse |
Moyo wangu waufurahia
wema wako, wema wako
Uso wangu umejawa tabasamu
Kwa neema yako
Oooh My GOD
Umenipa nafasi
Nauona wema, oooh wema
Oooh My GOD
Umenipa nafasi
Nauona wema, oooh wema
Chorous
Umwema Umwema
Umwema Jehova Umwema
Umwema Umwema
Kwenye hatari umeninusuru Umwema
Umwema Umwema
Umwema Jehova Umwema
Umwema Umwema
Kwenye giza umeweka nuru Umwema
Verse II
MUNGU wangu wewe
Ni Mwanzo na Mwisho
MUNGU wangu wewe
Ni Alpha na Omega
Nimejifunza neno lako, neno lako
Nikauona uwepo wako,uwepo wako
Nikang’ang’ana mbele zako
Nimeuona mkono wako
Oooh My GOD
Umenipa nafasi
Nauona wema, oooh wema
Oooh My GOD
Umenipa nafasi
Nauona wema, oooh wema
Chorous
Umwema Umwema
Umwema Jehova Umwema
Umwema Umwema
Kwenye hatari umeninusuru Umwema
Umwema Umwema
Umwema Jehova Umwema
Umwema Umwema
Kwenye giza umeweka nuru Umwema
#kamalathegospel #kamalathegospelstore #gospelmusic #umwemajehova