Neema Gospel Choir Tunakukaribisha katika ibada kubwa ya shukrani, Tukimshukuru Mungu kwa kutimiza miaka 33 tangu kuzaliwa kwa huduma hii ya uimbaji.
Karibu ujumuike nasi katika ibada hii,
Neema Gospel Choir (Waandaaji) watashirikiana na Waimbaji wengine wengi katika kumsifu na kumsukuru Mungu kwa Neema na Baraka nyingi.