Kuna nyakati katika maisha unawaza utapenya vipi, utapita na utavuka vipi...
Ulishatamani kusikia sauti ya Mungu ikikuaminisha usiogope maana Niko pamoja nawe?
Basi wimbo huu unakujia katika maudhui hayo. Tunamuamini Mungu kwamba Ameleta ujumbe huu katika majira haya kwa kusudi la kuvusha mtu fulani mahali.
Song Writer: Henrick Mruma
Singers: SEED OF FAITH
Music Production, Mixing & Mastering: Kepha Mndeme - SMART TUNES
Piano: JayG-Pro
Bass Guitar: PBass50
Lead Guitar: Ernest Kilimba
Lyric Video: Eric Kashoma