
Kwenda ulimwenguni kote kuhubiri Neno la Mungu kwa kila kiumbe.
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Marko 16:15-18
Tumeitwa kukutangaza Yesu
We've been called to proclaim your name Jesus
Tumeitwa kukuhubiri Yesu
We've been called to preach about you Jesus
Tumeitwa kukutumikia
We've been called to serve you
Neno lako lienee
to spread your word
Imo nguvu
there's power
Katika neno lako
in your word
Ishara hizi zitafuatana nasi
And these signs will accompany us
Sisi tunaoliamini jina lako
Who believe in your name
Kwa jina lako wagonjwa wanapona
In your name the sick get healed
Waliofungwa wanafunguliwa nawe Bwana
You set free the captives
Bwana kwa nguvu zako Hatutadhurika
Lord by your power we'll not be harmed
kwa vitu vya kufisha
with deadly poisons
(kwa vitu vya kufisha)
(with deadly poisons)
Hatutadhurika
we'll never be harmed
Bwana kwa roho wako
Lord by your Holly spirit
Tutasema kwa lugha mpya
We'll speak in new tongues
Lugha mpya
New tongues
Oooh Bwana, Oooh Bwana
Oooh Lord,Oooh Lord
Hatutadhurika
We'll never be harmed
Kwa vitu vya kufisha
With deadly poisons
Hatutadhurika
We'll never be harmed
Written by: Fredrick Kilago
Performed by: Neema Gospel Choir
Video by: Sylvester Daniel
Audio by: Frester's Records and Quillian
Graphics By: Titus Alfred
Contacts:
Email: neemagospelchoir@gmail.com
Phone: +255 (0) 766 777 288
Instagram: neema_gospel_choir
Facebook: Neema Gospel Choir
Twitter: Neema Gospel Choir
Telegram: Neema Gospel Choir