Neema Gospel Choir - Nuru ya Kweli (Official Audio)

Просмотров: 38, 318   |   Загружено: 7 год.
icon
Neema Gospel Choir
icon
148
icon
Скачать
iconПодробнее о видео
Nuru ya Kweli ni wimbo unaoeleza upendo wa ajabu wa Mungu kumtoa Mwana wake wa pekee Yesu Kristo ili aje kutukomboa wanadamu. Yesu amekua nuru ya kweli kwa kuwa ametutoa kwenye giza, ametutakasa, kutuponya na kutuweka huru.

Mpendwa unaesikiliza wimbo huu. Amini kuwa Yesu anaweza kukutoa katika shida na matatizo mbalimbali na kukupa amani.

Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Yohana 8:12

+255 766 777 288
Email: neemagospelchoirmedia.com

Похожие видео

Добавлено: 56 год.
Добавил:
  © 2019-2021
  Neema Gospel Choir - Nuru ya Kweli (Official Audio) - RusLar.Me