HATUTAOGOPA - Neema Gospel Choir (Official Audio) The Sound of Ahsante

Просмотров: 25, 471   |   Загружено: 4 год.
icon
Neema Gospel Choir
icon
154
icon
Скачать
iconПодробнее о видео
Upendo wa Mungu hutupa ujasiri wa kuyakabili mambo yote yanayo tusonga. Tupatapo shida au kukumbwa na majanga mbalimbali tunakimbilia kwa Mungu kwa njia ya maombi na hivyo imani yetu haiwezi kuyumbishwa na changamoto za dunia.
Zaburi 46:1-7

lbadilike hii nchi yote,
Itetemeke milima yote.
Mungu kwetu ni kimbilio
Hatutaogopa,

Hatutaogopa,
Mungu kwetu ni kimbilio ,
Hatutaogopa.

Mateso yaje
maji yavume,
Wafalme wote
waghadhabike.

Mungu kwetu ni ngome yetu
Hatutemeshwi.

Hatutetemeshwi,
Mungu kwetu ni ngome yetu,
Hatutetemeshwi.

Hatutaogopa,
Mungu kwetu ni kimbilio ,
Hatutaogopa.


Audio Recorded by: Frester's Record
Graphics By: Titus Alfred

Contacts:
Email: neemagospelchoir@gmail.com
Phone: +255 (0) 766 777 288

Instagram: neema_gospel_choir
Facebook: Neema Gospel Choir
Twitter: Neema Gospel Choir
Telegram: Neema Gospel Choir

Похожие видео

Добавлено: 56 год.
Добавил:
  © 2019-2021
  HATUTAOGOPA - Neema Gospel Choir (Official Audio) The Sound of Ahsante - RusLar.Me