Agape Gospel Band Ft Rehema Simfukwe - Amejibu Maombi (Live Music Video)

Просмотров: 8, 285, 942   |   Загружено: 2 год.
icon
Agape Gospel Band
icon
41, 646
icon
Скачать
iconПодробнее о видео
Shalom Shalom !!
Baada ya simu zetu kupokelewa Mbinguni (HALLO MBINGUNI) tunakujia na wimbo huu wa ushuhuda Bwana (AMEJIBU MAOMBI )

Inawezekana bado hujaona majibu yako, nataka nikutie Moyo kwamba Shukurani Kwa Mungu haifungamanishwi na yale ambayo Bwana ameshatenda hata Kwa Yale ambayo tunaamini atatenda kwa imani.

Zab 18:6
Katika taabu yangu nilimwita Mwenyezi-Mungu, nilimlilia Mungu wangu anisaidie. Aliisikia sauti yangu hekaluni mwake; kilio changu kilimfikia masikioni mwake.

Credits:
Venue :Reality of Christ (ROC)
Video Directed by :Amijoji Company
Audio Capturing :Mujwahuki
Audio Mixing &Mastering :Baraka Ngowi
Backline :Haddypro Company Limited
Lights :Haddypro Company Limited

Connect with us Via:
Mobile :+255 710 087 353
Whatsapp:
Instagram :
Tiktok:
Twitter:
Facebook: Administered by Huru Digital
Instagram:

Похожие видео

Добавлено: 55 год.
Добавил:
  © 2019-2021
  Agape Gospel Band Ft Rehema Simfukwe - Amejibu Maombi (Live Music Video) - RusLar.Me