
#kenyan_gospel, #kenyan_gospel_mix, #djbingkenya, #thekingdomboy
Huu mwaka mpya acha lile uombalo na LIWE maana huwezi omba samaki ukapewa nyoka[mat 7:7-10] Omba ukijua SIKU MOJA atakutendea. Dai BARAKA ZAKO zile ambazo mungu amekuahidi, iwapo zimechelewa MTAFUTE yesu naye atapatikana maana yeye YUPO na hawezi kulinganishwa na mwingine kwani YEYE NI MUNGU wala si mwanadamu. AmeGHARAMIA hali zako kwa hivyo ONA MBALI na ujue AMEKUFAA, kaa TAYARI na kabla aje omba AKUONGOZE maana yeye HAWEZI KUANGUSHA na atakupa NAFASI NYINGINE akufanye UJULIKANE. Iwapo kuna jambo ngumu MWAMBIE YESU maana WAKATI WA MUNGU utakapofika atakutendea, ataTETA NAO wanaoteta nawe, swali tu ni je, wataka AKUTENDEE NINI?
Acha mungu wetu ASIFIWE LEO, kesho, na hata milele maana AMETUKUMBUKA wala hajatuacha SOLO. HATUTASAHAU aliyotutendea baba, maana ametupitisha kwa MAPITO makuu. Let us choose to STILL BELIEVE in him no matter what we face maana AMETUMULIKA na kutufanya HODARI hali zetu ametuahidi ZITAKUA SAWA. Oh God, YOU ARE SO BEAUTIFUL and WHEN WE CARRY YOU, we carry everything and that’s why we will always LIFT YOU UP.
Track list for THE NEW LIWE GOSPEL MIX by DJ BING.
Liwe – Guardian Angel 00:00:00
Siku Moja – Papa Tomaso 00:02:04
Baraka Zangu – Rebecca Soki 00:04:00
Mtafute – Janet Otieno 00:06:36
Upo – Mr. Seed X Solomon Mkubwa 00:09:06
Wewe Ni Mungu – Danny Gift X Solomon Mkubwa 00:11:24
Gharama – Ali Mukhwana 00:14:24
Naona Mbali – Florence Andenyi 00:16:44
Umenifaa – Eve Bahati 00:18:44
Tayari – Alice Kamande 00:21:44
Kuongozwa – Guardian Angel 00:23:25
Hajawai Niangusha – Guardian Angel X Moji Shortbaba
X DK Kwenye Beat 00:26:04
Nafasi Nyingine – Joel Lwaga 00:28:51
Ujulikane – Karwirwa Laura X Alice Kimanzi 00:31:34
Mwambie Yesu – Bro. Loam 00:34:17
Wakati Wa Mungu – Guardian Angel X Paul Clement 00:36:34
Teta Nao – Christina Shusho X Dreamers Singers 00:39:13
Akutendee Nini – Christina Shusho 00:42:05
Asifiwe Leo – Alice Kimanzi 00:44:34
Amenikumbuka – John Thuku X Akim 00:46:25
Solo – Camp David 00:48:37
Sitasahau – Eve Bahati 00:50:49
Mapito – Gloria Muliro 00:53:28
I Still Believe – Angel Benard 00:56:11
Amekumulika – Rosy Ohon 00:58:30
Hodari – Dan Wadhamana 01:01:00
Itakua Sawa – Dan Wadhamana 01:04:06
You Are So Beautiful God 01:08:15
When You Carry God – Jimmy D Psalmist X Emmasings 01:11:05
Lift Him Up – Dee Jones 01:14:52
CONTENT DISCLAIMER!!!
Due to the social nature of this broadcasting channel videos may contain content copyrighted by another entity or person. This channels owner claims no copyright to said content. The broadcaster of this channel cannot be held accountable for the copyrighted content. The broadcaster of this channel is a messenger and sharer of information and strives to verify, but cannot warrant the accuracy of copyrights or completeness of the information of this channel.
If you have a complaint about something or find your content is being used incorrectly, PLEASE CONTACT THE BROADCASTER PRIOR TO MAKING A COPYRIGHT CLAIM. Any infringement was not done on purpose and will be rectified to all parties’ satisfaction.