#HenrickMruma #Nakushukuru #GospelMusicVideo
Mwishoni mwa mwaka 2018, Kwa kipindi cha miezi mitano nilikuwa najifunza somo gumu sana katika maisha yangu linalohusu KUSIKILIZA, KUTULIA NA KUSUBIRI. Kipindi hiko kilikuwa kigumu kiasi cha kutaka kukata tamaa maana nilifeli kwenye vitu vingi sana kwenye maisha yangu na hapo ndipo wimbo wa #NatakaNitulie ulipokuja moyoni mwangu na ukatumika kama daraja la kuvuka kwenye hicho kipindi kwa uvumilivu mkuu. Baada ya mwaka mmoja kupita, Mungu akaweza kunipa kila kitu ambacho aliona kwangu kinafaa na hata vile nilivofeli niliweza kupata vingine vizuri na vyenye manufaa zaidi siku nikiwa nimekaa natafakari namna ambavyo Mungu alinivusha ndipo wimbo huu #Nakushukuru ukaja moyoni mwangu. Hizi sio hadithi bali ni kweli kabisa ya maisha yangu na huu wimbo ni shukrani ya dhati kutoka kwangu kwa Mungu. Natamani tuungane pamoja kupitia wimbo huu kumshukuru Mungu kutokana na mambo mengi ALIYOTENDA, ANAYOTENDA na ATAKAYOTENDA katika siku za Usoni.
Connect with Henrick Mruma
Instagram:
Facebook:
Singer/Song Writter: HENRICK MRUMA
Audio Production: JUSTIN RIDER (RIDER RECORDS)
Video Director: EINXER (MAXUM VISION)
Lead Guitar: NAHUM GIDEON
Bass Guitar: AMOS BEVIN
Vocal Arranger: HENRICK MRUMA
Back Vocals: Soprano & Alto: GLADNESS SIYAME, PRAISE GAMUYA, DORCAS AUGUSTINE & ESTHER NYANDA. Tenors: HENRICK MRUMA & AMOS BEVIN.
Video Cast: PRISCILLA MBOYA, SOPHIA KALINGA, KABULA MAGANGA, ZIPPORAH MSHANA, ANNA MANASE & TAUSI MUSA.
Makeup Artist: ANNA TRENDS (ANNA GEORGE)
Dancers: ALVIN BEAUTY, ISAKA MAKWAYA, BRIAN KABOGO & RICH MALYA.