![](https://ruslar.me/mobile/static/img/info.png)
Written By Sketch.
Perfomed by Sketch Yours Truly.
Produced by BoombaYE.
Mixed and mastered by Sketch Yours Truly.
Co Producer Blaq Mamba.
LYRICS.
HOOK!
W . S . R ... William Samoei (mmhhh aaahhh hustler nation) x 4
VERSE 1!
toka sambut katokea mkombozi
kutuokoa mambo leo ukoloni
William Ruto aka Samoei
Bila hilo jina kwenye ballot sitokei
Maana nmechoka na mapharaoh kutuplay
Tunabaki tukilia shida erry day
Tunashindwa hustling lini ita pay
Then Dr William katokea tu na way
HOOK!
W . S . R ... William Samoei (mmhhh aaahhh hustler nation) x 4
VERSE 2!
Moja tisa sita sita kwa mzee cheruiyot
Shangwe zikawa ni a lot kijana tougher than the most
A leader wiser than the rest kwa mahustler ndo the best
Amestand ecological test no detest
From zero to hero chicken seller to prezzo
An inspiration to the coming generation
I mean go for it kid no limitation
Self made he the perfect definition
You cant break huyu buda na vitisho
The kinda leader anafanya na vitendo
preaching peace pamoja na upendo
Kujenga hustler ndo moja yake lengo
Kutoka lamu adi kisiwa cha migingo
Ukabila na ufalme ndo tunakataa
Maana ni sera na usawa ndo zinatufaa
Inua mama baba na vijana wa mtaa
Tuungane mashinani hadi manispaa
Maana daktari ndo kiongozi anatufaa
HOOK!
W . S . R ... William Samoei (mmhhh aaahhh hustler nation) x 4
#ruto
#kenyadecides2022
#kenyaelection2022
#kenya
#wsr
#the5th
#iebc
#kenya
#presidentelect