Neema Gospel Choir, AICT Chang'ombe - Si Wakati wa Kulia

Просмотров: 41, 551   |   Загружено: 4 год.
icon
Neema Gospel Choir
icon
252
icon
Скачать
iconПодробнее о видео
Ni wimbo wa kutia moyo na kutupa faraja katika mambo mbalimbali ambayo tunapitia na kutukumbusha kuwa yupo Mungu muweza wa mambo yote ambaye ameahidi kuwa nasi siku zote mpaka mwisho wa dahali.
"Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso" Zaburi 46:1

Song Lyrics:
Si wakati wa kulia,
it's not time to cry
Ni wakati wa Sifa,
It's time for praise

Tumaini lipo, Msaada upo,
there is hope, there is help
Kwa Yesu tunao usalama.
In Jesus we are safe

Alisema hatatuacha,
For he said he will never leave us
Hata ukamilifu wa dahari.
To the very end of age

Ye' ni Mungu wa kweli,
He is the true God
Mungu wa kweli,
The true God
Ye' ni Mungu wa kweli, Bwana.
He is the true God, the Lord

Tuseme nini juu ya mambo hayo?
What then shall we say to all these things?
Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu?
if God is for us, who can be against us?

Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu?
if God is for us, who can be against us?

Katuzingira kwa pande zote,
He has sorrunded us
Kushoto, kulia ye yupo na malaika wake wapo.
to the left and to the right he is with us, and the angels too

Kushoto, kulia ye yupo na malaika wake wapo.
to the left and right he is with us, and the angels too

Neno lake ni la Ukweli,
His word is true
Hasemi uongo, ni Mungu wa kuaminika.
He never lie for He is God

Hajashindwa na hatashindwa,
He is not defeated, He will never be defeated
Milele yeye ni Mungu.
He is God forever


Ametuficha mikononi mwake,
In his arms we are hidden
Kivulini pake hatuna hofu.
In his shadow there is no fear.

Written by: Samuel Limbu
Performed by: Neema Gospel Choir
Lead Vocalists: Jacqueline Izengo
Video by: Sylvester Daniel
Audio by: Frester's Records and Quillian
Graphics By: Titus Alfred

Contacts:
Email: neemagospelchoir@gmail.com
Phone: +255 (0) 766 777 288

Instagram: neema_gospel_choir
Facebook: Neema Gospel Choir
Twitter: Neema Gospel Choir
Telegram: Neema Gospel Choir

Похожие видео

Добавлено: 56 год.
Добавил:
  © 2019-2021
  Neema Gospel Choir, AICT Chang'ombe - Si Wakati wa Kulia - RusLar.Me