
Ni kielelezo cha matumaini na furaha ya kuishi milele na Mungu, tukicheza, kuimba na kumsifu Mungu milele.
Ufunuo 7:9-10, Ufunuo 7:16-17, Ufunuo 5:12.
Furahia wimbo huu na ujiunge nasi kwenye ibada hii.
VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT
held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam.
LYRICS
Mbinguni itakuaje?
kwa Baba itakuaje?
Tutashangilia kwa Baba
imba kwa Baba itakuaje?
Hakuna njaa
hakuna giza wala kiu
ni kuimba milele
na kumuinua Bwana
Just imagine
how we gonna dance
Just imagine
how we gonna Sing
Hossana
And Music gonna Sound
We gonna dwell in his presence
Praise his Majesty
Because he is the lord
And he is Worth to be praised
Tutaimba mbele zake,
Na kucheza mbele zake,
Mbele za Bwana, Mbele za Bwana.
We gonna dwell in his presence
Praise his Majesty
Because he is the lord
And he is Worth to be praised