Neema Gospel Choir, AICT Chang'ombe - Usifiwe Mungu (Official Video)

Просмотров: 32, 366   |   Загружено: 5 год.
icon
Neema Gospel Choir
icon
321
icon
Скачать
iconПодробнее о видео
Wewe ni Mungu,
you are God

muumba vyote
creator of everything

Wewe ni Bwana juu ya mabwana
you are Lord of lords

Ufalme wako,
your kingdom

ukuu wako Umetukuka hata milele
your geatness is grolified forever

Enyi mataifa
all nations

njoni mbele zake
come before him

Mwabuduni yeye
worship him

maana anastahili
for he is worthy

Mwimbieni Mungu,
sing for God

mtangazeni yeye
proclaim him

Kwa matendo makuu
for the great things

atendayo kwa utukufu
he does for his glory

Oooh yeye ni mwema
ooh he is good

Wema wake hauchunguziki
his goodness is unsearchable

Wewe ni Mungu,
you are God

wewe ni Mungu umetukuka
you are God and you are glorified

Duniani na mbinguni
on earth and in heaven

Hakika watawala
you reign

milele na milele
forever

Hakika ni mkuu
you are the greatest

Usifiwe Mungu, muumbaji wetu
be praised God our creator

Utukuzwe pekee wewe ni mkuu
be glorified you are the greatest

Hauchunguziki, haufananishwi
you are unsearcheable, you are not to be compared

Wewe ndiwe Mungu wa milele yote.
you are God forvermore


Audio Recorded by: Frester's Record
Video Directed by: Cylivester
Graphics By: Titus Alfred

Contacts: Email:neemagospelchoir@gmail.com
Phone: +255 (0) 766 777 288

Instagram: ...
Facebook:
Twitter:
Telegram:
Whatsapp:

Похожие видео

Добавлено: 56 год.
Добавил:
  © 2019-2021
  Neema Gospel Choir, AICT Chang'ombe - Usifiwe Mungu (Official Video) - RusLar.Me