
Mfululizo wa mikutano ya kipekee inayogusa maisha yako kwa njia ya kiroho na kukupa tumaini, urejesho, na uhusiano mpya na Mungu.
✨ Jiandae kwa:
🎤 Ujumbe wa nguvu kutoka kwa mnenaji maalum
🎶 Nyimbo za sifa na kuabudu zinazoinua moyo
🙏 Maombi ya pamoja na mafundisho ya Biblia
🤝 Ushuhuda wa kutia moyo
👇 Tuambie unatufuatilia kutoka wapi kwenye comments!
📢 Usisahau ku-LIKE, kushiriki, na ku-SUBSCRIBE kwa vipindi zaidi vya kiroho.
#wakatinisasa
This stream is created with #PRISMLiveStudio