
Arranged and composed by Bloodworth Mahiva, Kethan and Wanavokali
Produced by: Kethan
Keys and Organs by: Bloodworth Mahiva
Live Drums by: Mighty Joe
Bass by Tom Olang’o
Acoustic Guitars by Tom Olang'o
Visualiser by PRNTDVSN
LYRICS
Kuna wenye vitabu
Kuna wenye hesabu
Wengine tulibarikiwa sauti na kalamu
Ninavyojijua, huwa napenda hadi mwisho
Kwa yale machache najivunia
Moja ni kukuita wangu
Wengi walifanya nikadhani sitawahi kupenda
Ila wewe umenionyesha ninaweza kupendwa
Na wengi wakasema eti sitawahi weza kuweza
Ona vile tunaishi hii life bila pressure
Kama unataka penzi isoloisha
Niangalie
Me ninapo kuona
Naona maisha
Niangalie, Niangalie
Nia Nia
Nia Nia
Niangalie, niangalie
Nia Nia
Nia Nia
Niangalie, niangalie
We wathamani kuliko shaba
Ningetamani nikuite lover
Hakuna jambo linanloweza kunitenganisha na penzi lako
Unachotaka umekipata
Utapokwenda nitakufwata
I will always be yours
You will always be mine
Till the end of time
Na-aah
Nakupenda
Na-aah
Nakupenda
Kama unataka penzi isoloisha
Niangalie
Me ninapo kuona
Naona maisha
Niangalie, Niangalie
Nia Nia
Nia Nia
Niangalie, niangalie
Nia Nia
Nia Nia
Niangalie, niangalie