MUNGU ALINIPA WIMBO HUU MWAKA 2017 NA UMEKUWA MOYONI MWANGU KWA KIPINDI CHOTE HICHO NA UMEKUWA UKINIHUDUMIA SANA KWA KIWANGO CHA TOFAUTI SANA.
NIMESIKIA NDANI YANGU KWAMBA NIUACHIE WIMBO MAJIRA HAYA KWA SABABU KWA KIPINDI HIKI CHA MWAKA MMOJA BWANA AMEKUWA MWEMA SANA KWANGU. KWA HAKIKA AMEFANYA MAMBO AMBAYO NIMEKUWA NIKIMUOMBA KWA MUDA KIDOGO. AMENIPA HAJA YA MOYO WANGU NA ZAIDI. SIWEZI KUMPA CHOCHOTE KITAKACHOLINGANA NA UKUU WAKE MAISHANI KWANGU BALI IBADA TAKATIFU.
NINAAMUA KUFANYA IBADA KUPITIA WIMBO HUU ILI KUONYESHA VILE NINAVYOMJUA YESU NA UTENDAJI WAKE TOKA MOYONI MWANGU KUPITIA KINYWA CHANGU, SINA LA KUMPA ZAIDI YA IBADA THABITI NAAAMINI ATAIPOKEA.
AMINI NAKWAMBIA, YESU NI BWANA WA MAJESHI NA ANAPIGANA KWA AJILI YETU SOTE, MIMI NIMEMUONA DHAHIRI.
UNGANA NAMI TUMFANYIE MUNGU IBADA TAKATIFU HII.
Singer/Song Writer: HENRICK MRUMA
Producer: JUSTIN RIDER (Rider Records)
Artwork: DANIEL SANKEY (Danielitus Brand)
Lead Guitar: NAHUMU GIDEON
Bass Guitar: TIMOTHY CHARLES
Vocal Arranger: HENRICK MRUMA
Back Vocals: DORCAS AUGUSTINE, PRAISE GAMUYA & GLADNESS SIYAME
Connect with Henrick:
Instagram:
Facebook:
#HenrickMruma #WeweNiBwana