Wimbo #AMEFANYA MENGI YESU ni Wimbo uliobeba moyo wa Shukrani , ni mengi sana ambayo BWANA amefanya katika maisha yetu , Kuna wakati wengi wetu tulikua tunalia lakin leo Bwana ameyafuta machozi yetu, tulikua tunapitia situation ngumu sana katika maisha lakini leo BWANA amefanya jambo jipya.
Unapoimba wimbo huu hata kama bado unalia Amini kwamba yupo Mungu anayefanya yupo Mungu anayefuta machozi ya watoto wake. Usichoke Amini katika Yeye anayefariji
Musicians
Main keys : Innocent Nelson
Aux keys : Michael Lowkeys
Guitarist : Kaz Benjamin
Bassist : JP kazire
Drummer : B Ngowi
Back Ground Vocals
SOPRANO :
Jocelyn Bryson
Neema Mlay
ALTO :
Jonas Moshi
Hannah Joseph
TENOR :
Justin
Pascal Guveti
Lead Singer: Victor Maestro
Mixing and Mastering by Baraka Ngowi
Sound Engineer: MUJWAHUKI
Venue: The Reality of Christ Church
Video Directed by ROC Media /Baraka Adam wapili
#AmefanyaMengiYesu #AgapeGospelBand #LiveMusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: