
Moja wapo ya vitu tunajivunia watu wa kigoma ni huu ubunifu aliotujalia MUNGU kutengeneza Mashuka mazuri ya rangi na Maua ya kila Aina. Tunawahudumia watu wanaoyahitaji wa kila kona ya Duni kwa urahisi kabisa wa Bei na namna ya kuwafikia. ndio maana tunasema kama na ww umevutiwa popote ulipo tupigie kwa Namba 0762149449.