
Nendeni zenu, nendeni zenu, tokeni huko, msiguse kitu kichafu; tokeni kati yake; iweni safi ninyi mnaochukua vyombo vya BWANA.
Isaiah 52:11 (NKJV)
Depart! Depart! Go out from there,Touch no unclean thing;
Go out from the midst of her, Be clean,
You who bear the vessels of the Lord.
Song Lyrics:
Nendeni zenu,
depart
Nendeni zenu,
depart
Tokeni huko
go out from there
msiguse kitu kichafu,
touch no unclean thing
Tokeni kati yake,
come out of her
Iweni safi ninyi,
be clean
Mnaochukua vyombo vya Bwana.
you who carry the vessels of the Lord
Maana hamtatoka, Kwa haraka,
for you shall not go out with haste
Wala hamtakwenda kwa kukimbia.
nor go by flight
Kwa sababu Bwana ata-watangulia,
for the Lord will go before you
Na Mungu wa Israel atawafuata nyuma awalinde.
and the God of Israel will be your rear guard
Msifungiwe nira pamoja Na wasioamini,
kwa jinsi isivyo sahihi
don't be unequally yoked with unbelievers
kwa maana itawachafua.
for it will pollute you
Pana urafiki gani kati ya haki nao uasi,
for what fellowship have righteousness and iniquity
Tena pana shirika gani ya nuru na giza.
what communion hathlight with darkness
Maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai,
for we are the temple of the living God
Kama Mungu alivyosema nitakaa ndani yao.
as God has said i will dwell in them
Na kati yao nitatembea,
and i will walk in them
Nami nitakuwa Mungu wao,
and will be their God
Nao watakuwa watu wangu Wanangu,
and they shall be my people, my children
Nao watakua watu wangu, Wanangu
and they shall be my people, my children
Vyombo vya Bwana ni kanisa la Mungu,
The church is one among the vessels of the Lord
lisitumike vibaya,
it should not be misused
Pia sadaka ni vyombo vyake Mungu
and the offerings are the vessels of God
tuzitumie kwa kazi yake.
let us utilize them for the work of God
Pia watumishi ni vyombo vyake Mungu,
and the servants of God are the vessels of God
Wasitumike kwa shetani,
should not serve the devil
Bwana Yesu atawalinda wote muendako.
Lord, Jesus will protect you all where ever you go
kwa kazi yake
for his work
Audio Recorded by: Frester's Record
Video Directed by: Cylivester
Graphics By: Titus Alfred
Contacts: Email:neemagospelchoir@gmail.com
Phone: +255 (0) 766 777 288
Instagram:
Facebook:
Twitter:
Telegram:
Whatsapp: