Mfanyibiashara Elias Njeru anayeshukiwa kumvamia mpenziwe Florence Wanjiku mjini Nakuru, ameachiliwa kwa dhamana na mahakama ya Molo. Njeru ambaye ni mkuu wa kanisa moja mjini Nakuru alikanusha mashtaka ya kujaribu kumuuwa wanjiku alhamisi iliyopita katika eneo la Kiamunyi.