Henrick Mruma - Maserafi (Official Audio)

Просмотров: 9, 642   |   Загружено: 3 год.
icon
Henrick Mruma
icon
208
icon
Скачать
iconПодробнее о видео
#SeedOfFaith #Maserafi #Halleluya #Makerubi

Ufunuo 4:9-11 "Na hao wenye uhai wanapompa yeye aketiye juu ya kiti cha enzi utukufu, na heshima, na shukrani, yeye aliye hai hata milele na milele, ndipo hao wazee ishirini na wanne huanguka mbele zake yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi, nao humsujudia yeye aliye hai hata milele na milele, nao huzitupa taji zao mbele ya kile kiti cha enzi, wakisema, Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa.”

Yeye aketie enzini patakatifu, sifa ndio harufu nzuri kitini pake. Tunapoungana na maserafi na makerubi kuzipaza sauti zetu mbele yake basi sifa hizi zikafanyike manukato mazuri machoni pake. Zikawe sifa zisizo na ukomo, zikaimbwe na maelfu kwa maelfu tukitukuza ukuu na uaminifu wake.

Singer/Song Writer: HENRICK MRUMA
Studio: ALBEROSE MUSIC HOUSE
Music Arranged/Produced by: BAND OF CHRIST
Mixing and Mastering: G MUSICS
Music Director: @jayg_production (JAMES GODFREY)
Piano/ Organs/ Layer/ Flutes : JAMES GODFREY
Bass Guitar: @pbass_50 (EMMANUEL PETER)
Drums: SAMWEL SIMON
Lead Guitar: G MUSICS
Vocal Arrangements: HENRICK MRUMA
Back Vocals: FRIDA NAJEL, CLARA DEOGRATIUS, YADA-PRAISE, DORCAS DANIEL, MOSES BETESSE, JACKSON PAUL.
Graphic Artwork: STEVIE GRAPHICS

Special Thanks to;
ALBERT & ROSELINE MRUMA WITH FAMILY, CAROLINE RONALD, BAND OF CHRIST, TILUS & G MUSICS

Похожие видео

Добавлено: 55 год.
Добавил:
  © 2019-2021
  Henrick Mruma - Maserafi (Official Audio) - RusLar.Me