
Audio written and produced by Kethan
Footage taken by LifewithoutPj and Fidel Tall
LYRICS
Ati wanatusimamia
Haja gani sitting allowance
Wamejaza magunia
Pesa zetu Ndio Wanagawa
Tumebaki tukiumia
Sisi hatutawai tanyamaza
Siku zinakaribia
Miti yote yanateleza
Tangu tuwape viti
Mmetufanyia nini?
Vitu vidogo, dogo
Kutufunga macho
Jasho zetu na bidii
Tuonyesheni risiti
Mstahiki meya
Tumechoka na Hadithi
Tumechoka
Hamtujali sasa
Tumechoka
Hamuoni vile
Tumechoka
Sisi sote sasa
Tunaona sana tunaona sana
Vile mnatufanya
Tunawazama
Wakati umefika
Wakati wa kushuka
Tumechoka kuzungushwa
Sasa tumeungana
Tumechoka
Hamtujali sasa
Tumechoka
Hamuoni vile
Tumechoka
Sisi sote sasa
Tumechoka