
Mungu anafanya matendo makuu mpaka unashindwa kunyamaza,
Unajaribu kukaa kimya lakini unashindwa kujizuia,
Unatafuta maneno ya kumwambia,
Unaona hakuna linalofaa kuelezea vizuri,
Unabaki unashangaa na kutaharuki,
Unaishia kusema,
Namna hii? Sijawahi Ona namna hii????!!!!
Kwa Neema ya Mungu, tarehe 2 Agosti 2024, wimbo wa NAWEZAJE KUNYAMAZA utapatikana on all digital platforms.
#NawezajeKunyamaza
#DrIpyana
#NamnaHii