
_______________________________________________
Ni mfalme wa Amani
He is the Prince of peace
Ni shujaa wa vita
Great warrior
Ni Mungu wa miungu
God of gods
Ni Bwana wa mabwana
Lord of lords
Atawala milele
He reigns forever
Mfalme wa vizazi
King of generations
Mungu mwenye kusifiwa
God worthy of our praises
Shujaa wa vita
Great warrior
Mungu mwenye kuabudiwa
God worthy of our worship
Shujaa wa vita
Great warrior
Kwake kuna Amani ya milele
In him there is eternal peace
Hutuliza dhoruba na mawimbi
he calms the storm
Anazo nguvu, kweli ajabu
He is powerfull
Nani kama Yesu mfalme wa wafalme
Who is like Jesus the King of kings?
Nimefanyika kuwa mwana wa Mfalme
i have become the King's son
Nimetakaswa sasa ni wa thamani ooh
i am sanctified now am precious
Nimefanyika kuwa mwana wa Mfalme
i have become the King's son
Nimetakaswa kwa damu ya Yesu
i am sanctified by Jesus'blood
_______________________________________________
Audio Recorded by: Frester's Record
Video Directed by: Cylivester
Graphics By: Titus Alfred
Contacts:
Email: neemagospelchoir@gmail.com
Phone: +255 (0) 766 777 288
Instagram: neema_gospel_choir
Facebook: Neema Gospel Choir
Twitter: Neema Gospel Choir
Telegram: Neema Gospel Choir