Wapenzi ikiwa Mungu alitupenda sisi hivi, imetupasa na sisi kupendana.
Na sisi tumeona na kushuhudia ya kuwa Baba amemtuma Mwana kuwa Mwokozi wa ulimwengu.
Nasi tumelifahamu pendo alilo nalo Mungu kwetu sisi, na kuliamini. Mungu ni upendo, naye akaaye katika pendo, hukaa ndani ya Mungu, na Mungu hukaa ndani yake.
1 Yohana 4:11,14,16
Damu ya Yesu iliyo mwagika pale msalabani imelipa Gharama ya madeni na dhambi zetu, Kumwagika kwa Damu hii kulifuta hati ya mashtaka mbele ya Mungu wetu, hivyo yule mshtaki wetu hakuwa na nguvu tena ya kutushtaki.
Asifiwe mwokozi kwa kazi ya msalaba
Waefeso 2:13-16
Credits:
Venue :Reality of Christ (ROC)
Video Directed by :Amijoji Company
Audio Capturing :Mujwahuki
Audio Mixing &Mastering : SAM MBOYA
Backline :Haddypro Company Limited
Lights : Haddypro CL
Connect with us Via:
Mobile :+255 710 087 353
Whatsapp:
Instagram :
Tiktok:
Twitter:
Facebook: