Neema Gospel Choir - Burudani Moyoni (Official Video Lyrics)

Просмотров: 56, 684   |   Загружено: 7 год.
icon
Neema Gospel Choir
icon
267
icon
Скачать
iconПодробнее о видео
Burudani Moyoni ni wimbo unaoelezea ukuu wa Mungu kwa kumtoa Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yetu, ambaye ni Mfalme wa amani na mshauri wa ajabu.

Unadhihirisha uwezo wake Yesu Kristo kuwa, ukimfuata utapata amani na furaha tele.

Isaya 9:6, Zekaria 9:9, 2Wakorintho 5:17, Ayubu 22:21.

UBARIKIWE !

Mawasiliano:
Simu: +255 766 777 288
Email: neemagospelchoirmedia@gmail.com

Facebook: Neema Gospel Choir
Intagram: Neema Gospel Choir
Twitter: Neema Gospel Choir

Похожие видео

Добавлено: 56 год.
Добавил:
  © 2019-2021
  Neema Gospel Choir - Burudani Moyoni (Official Video Lyrics) - RusLar.Me