
Yupo Mungu anaye kujua na anayekutambua vyema na yuko pamoja na wewe kukutia nguvu.
Neema yake ipo juu yako sasa na hata milele usikate tamaa.
1 Wakorintho 15:10
Lakini kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo; na neema yake iliyo kwangu ilikuwa si bure, bali nalizidi sana kufanya kazi kupita wao wote; wala si mimi, bali ni neema ya Mungu pamoja nami.