Wimbo #AMEFANYA MENGI YESU ni Wimbo uliobeba moyo wa Shukrani , nimengi sana ambayo BWANA amefanya katika maisha yetu , Kuna wakati wengi wetu tulikua tunalia lakin Leo Bwana ameyafuta machozi yetu, tulikua tunapitia situation ngumu sana katika maisha lakini Leo BWANA amefanya jambo jipya.
Unapo imba wimbo huu japokua bado unalia AMini kwamba yupo Mungu anafanya yupo Mungu anaefuta machozi ya watoto wake. Usichoke Amini katika Yeye anaefariji
Main keys : Innocent Nelson
Second keys : Michael lowkeys
Guitarist : Kaz Benjamin
Bassist : JP kazire
Drummer : B ngowi
Back ground Vocals
SOPRANO :
Joslyne Bryson
Neema Mlay
ALTO :
Jonas Moshi
Hannah Joseph
TENOR :
Justin
Pascal Guveti
This song mixed and Mastered by Baraka ngowi
Sound engineer MJWAUKI
Venue: The Reality of Christ church
Video Directed by ROC Media /Baraka Adam wapili
#AmefanyaMengiYesu #AgapeGospelBand #LiveMusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: