Hallelujah !!
Wimbo huu ni Wimbo wa Shukurani kwa Mungu wetu , wakati mwingine tunakosa maneno yakusema tunajiuliza " Tuseme Nini kwa wema wa MUNGU katika maisha yetu "??
Tunapofikiria habari ya wale wakoma kumi katika kitabu Cha Luka 17:11-19 neno la Mungu linasema ,
[11]Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemu, alikuwa akipita katikati ya Samaria na Galilaya.
[12]Na alipoingia katika kijiji kimoja, alikutana na watu kumi wenye ukoma; wakasimama mbali,
[13]wakapaza sauti wakisema, Ee Yesu, Bwana mkubwa, uturehemu!
[14]Alipowaona aliwaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika.
[15]Na mmoja wao alipoona kwamba amepona, alirudi, huku akimtukuza Mungu kwa sauti kuu;
[16]akaanguka kifudifudi miguuni pake, akamshukuru; naye alikuwa Msamaria.
Barikiwa sana 🙏🏾
Musicians
Main keys : Innocent Nelson
Aux keys : Michael Lowkeys
Guitarist : Kaz Benjamin
Bassist : JP kazire
Drummer : Hans Lugwisha
Back Ground Vocals
SOPRANO :
Jocelyn Bryson
Neema Mlay
ALTO :
Jonas Moshi
Hannah Joseph
TENOR :
Justin
Pascal Guveti
Lead Singer: Victor Maestro
Mixing and Mastering by Baraka Ngowi
Sound Engineer: MUJWAHUKI
Venue: The Reality of Christ Church
Video Directed by ROC Media /Baraka Adam wapili
#AmefanyaMengiYesu #AgapeGospelBand #LiveMusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: