
Artist : Chryso Ndasingwa
Mixing & recording : Ishimwe, Chrisau , Boris
Special thanks to this amazing band
Drumz : Isaac nziza
Bass : Ishimwe
Solo : Solooy
Keys : Ishimwe
Lyrics
Ulikuwepo na utakuwepo
Wema wako wadumu milele
Nashangazwa na rehema zako
Nami ntadumu uweponi mwako
Nashangazwa na rehema zako
Wafurahisha moyooo ooh ooh
Wafuta machozi
Yesu nakupenda
Hakuna chakunitenga nawe
Ulikuwepo na utakuwepo
Wema wako wadumu milele
Nashangazwa na rehema zako
Nami ntadumu uweponi mwako
Nami ntadumu uweponi mwako
All rights reserved @ChrysoNdasingwa