#SeedOfFaith #ASeasonOfHarvest #MvuaImekuja #Mvua #Imekuja
Isaya 30:23 Naye atatoa mvua juu ya mbegu zako, upate kuipanda nchi hii; na mkate wa mazao ya nchi, nayo itasitawi na kuzaa tele; katika siku hiyo ng'ombe zako watakula katika malisho mapana.
It’s a Season of Harvest na Mungu Alemeta Mvua ya baraka, mavuno ya kile tulichopanda na majibu ya maswali yetu. Kulingana na tutakavyokiri maneno haya na kuamini ndivyo ambavyo Bwana Atatenda kwenye maisha yetu.
Song writer: Henrick Mruma
Music arranger: James Godfrey (Jay G Pro)
Musicians: BAND OF CHRIST
Back Vocals: SEED OF FAITH
Sound System: Sound Solution International
Sound Engineer: Balisidya
Audio Capturing: Sam Mboya
Mixing and Mastering: Kepha Mndeme (Smart Tunes)
Video Production: SP Visuals
Lights: Nyakalo Lights
Stage Design: Winfred Palmena
Stage Decor: Gatty Events
Venue: City Harvest Church
Outfits: Dar Suit and Kuya Creations
Special Appreciations:
Caroline Henrick Mruma, Mr. & Mrs. Albert Mruma, Mr. & Mrs. Ronald Swai, Seed of Faith, Band of Christ, Dr. Twina Suzzette, Geofrey Rutta and Gideon Mlawa.