Neema Gospel Choir - Umeinuliwa (Live Music Video)

Просмотров: 8, 686   |   Загружено: 10 час.
icon
Neema Gospel Choir
icon
660
icon
Скачать
iconПодробнее о видео
Umeinuliwa – Neema Gospel Choir (Official Video)
Karibu ushiriki nasi katika ibada ya kipekee kupitia UMEINULIWA, medley ya nyimbo za sifa na kuabudu zenye ujumbe wa kuinua, kumtukuza na kumkiri Mungu kuwa peke yake ni Mtakatifu, Mwenye Enzi, Mponyaji na wa Ajabu.

💫 “Hakuna kama Wewe, BWANA – Umeinuliwa juu!”

Wimbo huu umetungwa kwa moyo wa ibada na shukrani kwa Mungu wetu ambaye ametukuka juu ya mataifa yote. Mataifa yatetemeka mbele zake, hakuna awezaye kulinganishwa Naye.

🔔 Subscribe kwa chaneli yetu ili upokee nyimbo zaidi za kiroho, sifa na maombi.
📌 Sikiliza kwenye majukwaa yote ya kidigitali – Spotify, Apple Music, Boomplay, na nyinginezo!
______
Songwriter & Composer: John Lisu, Godwin Mlambo & Fredrick Japhet (Masanja)
Leader: Willbert Baraka

#neemagospelchoir #gospel #umeinuliwa

——

𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram:
Facebook:
X:
Threads:
Tiktok:

𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
Whatsapp: +255 766 777 288
Email: info@neemagospelchoir.org
Website: www.neemagospelchoir.org

©️2024

Похожие видео

Добавлено: 56 год.
Добавил:
  © 2019-2021
  Neema Gospel Choir - Umeinuliwa (Live Music Video) - RusLar.Me