#SeedOfFaith #NatakaNitulie #Nikikuamini #Nikikusubiri #UnipeMajibu
Nataka Nitulie ni wimbo wa maombi kwa Mungu, Maombi katika nyakati ambazo tunakuwa na maswali mengi ambayo hatuna majibu yake na tunasubiri mambo ambayo tunayahitaji kwenye maisha huku tukiwa hatujui itatuchukua muda gani hadi tuyapate na kama ni kweli yataleta furaha na upenyo kwenye maisha yetu. Katika wimbo huu tunakiri kumuamini Mungu huku tukitulia na kujua kwamba Yeye ni Mwaminifu na Mkamilifu na atatupa majibu kulingana na muda ambao Anaona kwamba ni sahihi kwetu. Haitajalisha tutasubiri kwa muda gani, Ila kwa kuwa tunamuamini YESU, TUTATULIA. Ungana nami kwenye wimbo huu wa Maisha.
ISAYA 40:31
Song writer: Henrick Mruma
Music arranger: Victor Sebastian (VICS PLAY)
Musicians: BAND OF CHRIST
Back Vocals: SEED OF FAITH
Sound System: Sound Solution International
Sound Engineer: Balisidya
Audio Capturing: Sam Mboya
Mixing and Mastering: Kepha Mndeme (Smart Tunes)
Video Production: SP Visuals
Lights: Nyakalo Lights
Stage Design: Winfred Palmena
Stage Decor: Gatty Events
Venue: City Harvest Church
Outfits: Dar Suit and Kuya Creations
Special Appreciations:
Caroline Henrick Mruma, Mr. & Mrs. Albert Mruma, Mr. & Mrs. Ronald Swai, Seed of Faith, Band of Christ, Dr. Twina Suzzette, Geofrey Rutta and Gideon Mlawa.