Kaunti ya Taita Taveta ni mojawapo ya kaunti zenye historia chungu nzima kuhusu vita vya kwanza vya dunia, hivyo kuifanya kivutio cha utalii kote ulimwenguni hasa makaburi ya majeshi waliofariki katika vita hivyo baina ya ya wajerumani na waingereza miaka ya 1900.